DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASILI UWANJA WA UJAMAA IKWIRIRI

0
8
Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili Kwenye Uwanja wa Ujamaa mjini Ikwiriri Kibiti mkoani Pwani Oktoba 20, 2025 ili kuwahutubia wananchi hao ambapo Dkt. Samia ataeleza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2020/ 2025 na kuwaambia namna watakavyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/2030 huku kakiwaomba wananchi Hao kumpigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.

Author

  • Dawati Huru

    Dawati Huru Media ni jukwaa la habari za kitaita, kimataifa, biashara, utalii sanaa na michezo. Ni meza moja inayokuletea mkusanyiko wa kila unachohitaji katika tasnia hii.

    View all posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here