
Mgombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo pamoja na kumfariji Mama Siti Mwinyi pamoja na familia ya hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipofika Bweleo Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Unguja kwaajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Kaka yao Hayati Abass Ali Mwinyi leo Ijumaa Septemba 26, 2025.



Author
-
Dawati Huru Media ni jukwaa la habari za kitaita, kimataifa, biashara, utalii sanaa na michezo. Ni meza moja inayokuletea mkusanyiko wa kila unachohitaji katika tasnia hii.
View all posts









