
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia na kuzungumza na wananchi wa jimbo la Kibiti wakati akielekea kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni wilaya ya Mkuranga jioni ya leo Oktoba 9, 2025 mkoani Pwani.

Author
-
Dawati Huru Media ni jukwaa la habari za kitaita, kimataifa, biashara, utalii sanaa na michezo. Ni meza moja inayokuletea mkusanyiko wa kila unachohitaji katika tasnia hii.
View all posts









